Bioconductor 3.22 Released

Kauli Ya Baba Wa Taifa J. - K. Nyerere Juu Ya Maendeleo

Mwalimu alifananisha uhusiano wa Uhuru na Maendeleo sawa na ule wa . Alisema kuwa bila kuku huwezi kupata mayai, na bila mayai kuku watakwisha; vivyo hivyo, bila uhuru hupati maendeleo, na bila maendeleo utapoteza uhuru wako. TOP 25 QUOTES BY JULIUS NYERERE

Rasilimali mama inayopaswa kutumiwa kwa manufaa ya wote na si kugeuzwa bidhaa ya wachache. Kauli ya Baba wa Taifa J. K. Nyerere juu ya maendeleo

Maendeleo kwetu sisi ni lazima yawe ni maendeleo ya watu wetu, na tunasema maendeleo haya yanaweza tu kuletwa na wao wenyewe." 💡 Misingi ya Maendeleo kwa Mujibu wa Nyerere Mwalimu alifananisha uhusiano wa Uhuru na Maendeleo sawa

"Maendeleo kwetu sisi hayawezi kuwa ujenzi wa barabara ili tuseme: 'Tazama, zamani hatukuwa na barabara, sasa tunayo barabara; hayo ndiyo maendeleo.' Wala hayawezi kuwa ujenzi wa jengo kama hili na kusema: 'Tazama, zamani hatukuwa na hoteli kubwa Tanzania, sasa tunazo.' Huku siyo kile tunachokiita sisi maendeleo. Maendeleo kwetu sisi ni lazima yawe ni maendeleo