Skip to Main Content

Mambo Muhimu Yakuzingatia Kwa Mama Anayenyonyesha -

Usitumie muda wote wa usingizi wa mtoto kufanya kazi za nyumbani. Mapumziko husaidia mwili kutengeneza maziwa mengi.

Titi kuwa jekundu, gumu, na lenye maumivu makali (linaweza kuwa ni maambukizi ya Mastitis ). Homa kali na baridi. Chuchu kutoa usaha au damu. Mtoto kugoma kunyonya kabisa au kutoongezeka uzito. MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Hakikisha mikono yako ni misafi kabla ya kuanza kunyonyesha. Usitumie muda wote wa usingizi wa mtoto kufanya

Maziwa ya mama yana asilimia kubwa ya maji. Hakikisha unakunywa angalau glasi 8-12 za maji kwa siku. Kunywa glasi moja ya maji kila unapoanza au unapomaliza kunyonyesha. MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Pombe hupenya kwenye maziwa na inaweza kumdhuru mtoto. Kafeini (kwenye kahawa au chai kali) inaweza kumfanya mtoto akose usingizi au awe na mahangaiko. 2. Mbinu Sahihi za Unyonyeshaji